To see a wrong and not to expose it, is to become a silent partner to its continuance.
Kuona Maovu na kuyanyamzia ni sawa na kuwa mshirika kivuli.
PASS Trust ni taasisi ya huduma za masuala ya fedha na kitaalamu katika kilimobiashara inayotoa huduma mbali mbali. Kama taasisi tunatambua uwezekano wa kutokea ubadhirifu na ukiukwaji wa taratibu ambao unaweza kuathiri juhudi zetu katika kutoa huduma iliyo bora na pengine hata kuhatarisha taswira yetu katika jamii. Tunatambua kuwa wewe ni chanzo kizuri cha taarifa katika masuala haya ambayo unaweza ukayaona yakitokea au kutendeka. Tutashukuru sana iwapo utatupa taarifa juu ya jambo lolote ambalo utalibaini na kutuwezesha kulifanyia kazi ili kulirekebisha na kuzuia lisiendelee kutokea. Tafadhali amini kuwa taarifa yako itapokelewa na mtu huru ambaye unaweza kumuamini kabisa.
Tunakuhakikishia usiri wa mtoaji taarifa kiasi kwamba hakuna mtu atakayejua nani ametoa taarifa Zaidi ya mpokeaji. Wakati unatoa taarifa, una hiyari ya kujitambulisha au kutokujitambulisha. Iwapo utaamua kutokujitambulisha taasisi itashindwa kukupa zawadi iwapo taarifa husika itastahili kutolewa zawadi.
Baadhi ya masuala ambayo yanastahili kutolewa taarifa ni:
Ili kutoa taarifa, tafadhali jaza fomu hapa chini au piga simu kwa Mwenyekiti wa Bodi moja kwa moja kwa namba 0800750311 ambayo haihitaji malipo.
Ili kutoa taarifa, tafadhali jaza fomu hapa chini au piga simu kwa Mkurugenzi mtendaji moja kwa moja kwa namba 0800750310 ambayo haihitaji malipo.
Eneo lenye * ni muhimu kujazwa
PASS Trust is an Agribusiness Finance and Technical services institution providing a wide range of services. We understand that frauds and irregularities may occur and impact our efforts towards quality service delivery and even tarnish our image in the public. You are a valuable source of information on any of such events that you might spot at some point and time. We will highly appreciate if you report to us any incident you may spot and enable us work on it for rectification and prevent recurrence. Information you send will be received by an independent person whom you can trust.
We guarantee you of confidentiality of your identity such that no one other than the recipient of information will know who reported the matter. You have the liberty to disclose yourself or stay anonymous when reporting. However, would you opt to stay anonymous, PASS Trust will not be able to reward you in case the reported case warrants a reward.
Some of the reportable matters include:
To submit information about the matter please fill the form below or call a toll free number directly to the Board Chairperson 0800750311.
To submit information about the matter please fill the form below or call a toll free number directly to the Managing Director 0800750310.
Field with * are mandatory