Mkuu wa Mkoa wa Singida Ametembelea Banda la PASS Trust

Mkuu wa Mkoa wa Singida Mh. Halima Dendego ambaye pia ni Mwenyekiti mwenza Kanda ya Kati upande wa maandalizi ya Nane Nane – 2024, ametembelea Banda la PASS Trust linalopatikana katika Viwanja vya Nane Nane jijini Dodoma kuanzia tarehe 1 – 8 Agosti, 2024 na kujionea huduma mbalimbali zinazotolewa katika sekta ya kilimo, ufugaji, uvuvi, […]

Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi Ametembelea Banda la PASS Trust

DODOMA: Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Prof. Riziki Shemdoe ametembelea Banda la PASS Trust katika Maadhimisho na Maonesho ya Wakulima, Wafugaji na Wavuvi (Nane Nane – 2024) yanayofanyika Kitaifa katika Viwanja vya Nane Nane jijini Dodoma kuanzia tarehe 1 – 8 Agosti, 2024. Ameweza kujionea juhudi za PASS Trust katika uwezeshaji wananchi kiuchumi […]