Yohane Kaduma Amehudhuria Hafla ya Uwekaji Jiwe la Msingi Kiwanda cha Kuunganisha Matrekta Tanzania

Mkurugenzi Mtendaji wa PASS Trust, Yohane Kaduma, amehudhuria tukio kubwa la uwekaji jiwe la msingi kiwanda cha kuunganisha matrekta Tanzania. Kiwanda hiki cha uunganishaji matrekta kinajengwa kwa ushirikiano kati ya kampuni ya Kitanzania ya Agricom Africa Ltd na Mahindra Mahindra ya nchini India ambayo ni kampuni kubwa duniani kwa uzalishaji wa Matrekta. Jiwe la msingi […]
Mkuu wa Mkoa wa Singida Ametembelea Banda la PASS Trust

Mkuu wa Mkoa wa Singida Mh. Halima Dendego ambaye pia ni Mwenyekiti mwenza Kanda ya Kati upande wa maandalizi ya Nane Nane – 2024, ametembelea Banda la PASS Trust linalopatikana katika Viwanja vya Nane Nane jijini Dodoma kuanzia tarehe 1 – 8 Agosti, 2024 na kujionea huduma mbalimbali zinazotolewa katika sekta ya kilimo, ufugaji, uvuvi, […]
Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi Ametembelea Banda la PASS Trust

DODOMA: Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Prof. Riziki Shemdoe ametembelea Banda la PASS Trust katika Maadhimisho na Maonesho ya Wakulima, Wafugaji na Wavuvi (Nane Nane – 2024) yanayofanyika Kitaifa katika Viwanja vya Nane Nane jijini Dodoma kuanzia tarehe 1 – 8 Agosti, 2024. Ameweza kujionea juhudi za PASS Trust katika uwezeshaji wananchi kiuchumi […]
The Head Office has moved to the PSSSF Commercial Complex

The Private Agricultural Sector Support (PASS) Trust is excited to announce that we have relocated the Head Office to a brand-new office space, effective from 09th October 2023. The postal and new physical address is P.O. Box 9490, PSSSF Commercial Complex, 5th Floor – Wing B, House No. 24, Sam Nujoma Road, 16102 Sinza C […]
Boosting Food Availability: PASS Trust’s Impactful Investment In The Agriculture Sector

Tanzania, like many other African nations, ensures food security and availability are at the top of its priorities. Agriculture plays a pivotal role in the country’s economy, employing a significant portion of the population and contributing to both domestic consumption and exports. However, challenges such as climate change, limited access to modern farming techniques, and […]
PASS Trust, Yajidhatiti Kuimarisha Mifumo Ya Chakula Nchini

Nchi nyingi Barani Afrika, changamoto ya upatikanaji wa chakula bado ni kubwa. Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo zimebarikiwa kuwa na ardhi yenye rutuba ambayo inaruhusu uzalishaji wa mazao mbalimbali, Hali hii imefanya taasisi nyingi zinazojihusisha na sekta ya kilimo kuwekeza zaidi katika sekta hii. Teknolojia za uzalishaji zimeboreshwa, zitoa fursa kwa wajasiriamali na uhakika […]
Bridging The Gap With Innovative Digital Solutions: The Significance Of Pass Trust’s Digital Credit Guarantee

In today’s fast-paced world, where digital technology is revolutionizing every aspect of our lives, financial inclusion for Agricultural entrepreneurs remains a critical challenge in Tanzania, PASS Trust has emerged as a beacon of hope, for supporting these individuals to secure loans from various financial institutions and pioneering innovative solutions to bridge the gap. One such […]
PASS Hires Agencies to bid for IGG awareness campaign in the country.

PASS Hires Agencies to bid for IGG awareness Campaign in the country. [wpdm_package id=291 template=”link-template-default.php”]
Busokelo livestock keepers become champions of the dairy farming industry through PASS Trust’s credit guarantee services

Busokelo livestock keepers become champions of the dairy farming industry through pass trust’s credit guarantee services. [wpdm_package id=287 template=”link-template-default.php”]
PASS Credit Guarantee Service Creates Jobs to Youths in Mbeya

PASS Credit Guarantee Service Creates Jobs to Youths in Mbeya. [wpdm_package id=254 template=”link-template-default.php”]